· M a c h o · y a · M s w a h i l i ·

Shajara pepe...hamna la zaidi wala pungufu!? kama kiswahili kilichotumika hapa ni kigumu, basi ninamaana kuwa hii ni ''online diary'' au kama inavyojulikana kwa wengi: weblog!

Name:
Location: Dallas, Texas, United States

mkuki is from Tanzania currently living in Dallas, Texas.

9.11.01

Du leo nina furaha sana...baba yangu amefika salama, nilikuwa ninamsubiri kwa hamu ili tupige siasa kidogo na majadiliano mengine ya baba na mwana. Kwa hiyo hizi siku chache atakazokaa hapa itakuwa raha tele yaani!